Klabu ya Liverpool Wagoma Kumtoa Mchezaji Mo Salah Kuichezea Timu yake ya Taifa Misri Michuano ya Olympic

 


Klabu ya Liverpool imelipa taarifa Shirikisho la Soka nchini Misri kwamba hawatamruhusu Mshambuliaji Mohamed Salah ajiunge na timu ya taifa kwa ajili ya michuano ya Olympic 2020 ambayo itaanza Julai 23 mjini Tokyo Japan.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post