MSEMAJI wa Simba, Haji Manara Julai 21, 2021 amechafua hali ya hewa baada ya kuvuja sauti yake akimfokea bosi wake, Barbara Jaime Gonzalez kuwa amekuwa akimfatafata na kumtumhumu kuwa anaihujumu timu.
Kwenye sauti hiyo, Manara amesema anasubiri mechi yao na Yanga inayotarajiwa kupigwa Julai 25 mwaka huu ipite kisha ataongea zaidi.
Simba wanakutana na Yanga Jumapili hii katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma katika fainali ya FA
SIKILIZA HAPA:
Post a Comment