Hili ndio jibu la @officialalikiba baada ya kuulizwa kuhusu mpango wa kuongeza wasanii kwenye label ya King's Music mara baada ya kuondoka wasanii wawili; Killy na Cheed.
"Sio kila mtu anakuja King's, hatutafuti na hatuhitaji. Tukikupata tutakuchukua. Tukiona unafaa tutakuchua." @officialalikiba
Post a Comment