Jaji Warioba akiwa katika Kipindi cha Dakika 45 ITV amesema suala la kubadili Sheria nyingi katika kila Bunge zinaonesha umuhimu wa #KatibaMpya
Hata hivyo amesema ni muhimu kuwa waangalifu kwa kuwa Katiba Mpya haitaweza kutatua matatizo yote
Ametolea mfano kuwa tunaweza kuwa na Tume nzuri ya Uchaguzi lakini bila kuwa na #Demokrasia katika vyama changamoto hazitakuwa zimetatuliwa
Post a Comment