HomeUdaku Irene Uwoya na PESA zote Alizonazo Unaambiwa Hana Mpago wa Kujenga..Amjibu Shabiki bymafekeche -Tuesday, July 27, 2021 0 Star wa bongoMovie, IreneUwoya amemjibu shabiki yake kupitia ukurasa wake wa instagram kua hana mpango wa kujenga. Shabiki;- ‘’si unaviwanja vingi irene? Ivi umeanza ata ujezi wa kiwanja angalau kimoja?’’ Irene:- ‘’Sina huo mpango’’
Post a Comment