Reposted from @majizzo G lilibaki kama jina la kufikirika, mimi na Mama yake tulikuwa tunalitumia (Baba G/Mama G) wakati mtu mwenyewe hayupo.
Lakini imani ni kuwa na hakika na mambo yanayotarajiwa, tulikuwa na imani kwa Mungu wetu kwamba ipo siku bwana ‘G’ atakuja duniani. Mungu amejibu maombi yetu, mimi na mke wangu @elizabethmichaelofficial tumejaaliwa mtoto wa kiume, jina lake ni ‘G’.
Nafasi za Ajira Serikalini Bonyeza HAPA
G na mama yake wako vyema kabisa kiafya, tumejawa na furaha kubwa. Namshukuru mke wangu kwa zawadi hiyo.
Baasi tukumbukane katika sala na dua zenu. Asanteni.
.
#GKazaliwa
Post a Comment