Star wa bongoFlevour Dimond Platnumz kupitia video yake mpya IYO imepata watazamaji laki 2 ndani ya Lisa's limoja.
Rekodi hiyo hazijawahi tokea kwa msanii wa hapa Bongo Kufikisha views hizo liki mbili ndani ya Lisaa limoja
Hongera kwake Diamond Platnumz kwa Record hiyo mpya
Post a Comment