HomeUdaku Chadema: Mbowe na Wenzake Wamekamatwa na Polisi bymafekeche -Wednesday, July 21, 2021 0 CHADEMA imedai saa nane Usiku wa kuamkia leo, Polisi waliwasili Hotelini ambapo Freeman Mbowe na Viongozi wengine wa CHADEMA walifikia Viongozi hao wapo Mwanza ili kuongoza Kongamano la Katiba Mpya
Post a Comment