Katika kupambana na maambukizi ya #COVID19, watakao ruhusiwa kuingia Uwanja wa Lake Tanganyika Mkoani Kigoma ni Mashabiki 17,000
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amesema kila atakayeingia uwanjani lazima awe amevaa barakoa na kutakuwa na mapipa ya maji nje ya uwanja ili wanaoingia wanawe mikono
Post a Comment