Haji Manara Ameandika Haya muda mchache baada ya Simba Kutoa Barua Kuwa wameachana nae:
Kila tunapomaliza Mechi yoyote ile ya Simba,neno langu la kwanza baada ya matokeo yoyote yale ni Alhamdulillah
Kwa wanaofuatilia page hii wanatambua hilo.
Kwangu neno hili ndio Msamiati nnauotumia mara nyingi zaidi na hufanya hv kwa kila jambo ,liwe jema au baya
Yes neno langu ni moja tu
AL-HAMDULILLAH
Post a Comment