Askari Auawa Kwa Panga Akijaribu Kumkamata Mtuhumiwa wa Wizi



Askari Polisi wa Kituo Kidogo cha Polisi Mbughuni, Arumeru amefariki kwa kukatwa na panga alipokuwa akijaribu kumkamata Mtuhumiwa wa Wizi saa tano usiku katika Kijiji cha Makiba anakoishi Mtuhumiwa

Mwananchi aliliripoti tatizo la Mtuhumiwa kuiba mazao na alipokwenda kukamatwa, Mtuhumiwa mwingine kutoka nyumba jirani alikuja na kumpiga panga Askari huyo ambaye alifariki muda mfupi baada ya kuvunja damu nyingi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, ACP Justine Masejo amesema Mtuhumiwa amekimbia ila msako unaendelea

#Jamiiforums


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post