Ali Kiba Mstaarabu Sana Aahirisha Kutoa Nyimbo yake Kisa Msiba wa Malcom



Kwa heshima ya msiba wa #MalcomTheBeliever Mtoto wa Mtangazaji Masoud Kipanya - Alikiba ahairisha kutoa video ya Jealous aliyomshirikisha @IamMayorKun mpaka mazishi yatakapofanyika.


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post