Wimbo Kamata wa Diamond Platnumz Wawekwa Kwenye Mabango Makubwa Marekani

 


Staa wa Muziki barani Africa @diamondplatnumz , ameshare video inayoonyesha Ngoma yake inayosumbua kwa sasa #Kamata ikiwa kwenye mabango makubwa ya Matangazo (Billboards) katika ya Jiji la New York nchini Marekani .

Lebo kubwa za muziki Duniani kama @warnermusic , hutumia njia ya Billboards katikati ya Miji mikubwa Duniani ili kupromote kazi za Wasanii wake .

Je, unadhani hii itachangia kumpeleka @diamondplatnumz katika Soko la America zaidi ?



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post