Jina WCB ndo jina maarufu la kisanaa Kwa sasa.....Diamond Platnumz hajatokea from no where , nakumbuka mwaka 2010 nikisikiliza radio free Africa kulikuwa na kipind cha kushindanisha wasaniii na sku hyo walishindanisha Diamond na Alli Kiba , kiukweli Alikiba aliongoza Kwa Kura dhidi ya diamond , na ilikuwa halali yake by that time Ali Kiba kumburuza Diamond , First ukongwe kwenye game , second alikuwa na hitsong nying kumzidi kijana wa tandale.
Diamond alikuwa anachukiwa Sana na media hot kipind hcho pamoja na mashabiki wengi , mara nyimbo zake sio za kucheza n.k , nakumbuka mwaka 2014 tamasha liliandaliwa na Tigo I think pale Dar live kama sikosei , Alikiba na diamond waliperform na diamond alipiga show Kali Sana Ila aliishia kurushiwa chupa na kutukanwa na mashabiki but in return Diamond Platnums aliwarushia pesa mashabiki hao..
Kwa sasa diamond ana nguvu isiyo ya kawaida , WCB ni jina lenye nguvu Sana nchi hii , na watu wamewekeza pesa nyingi Sana kwenye Brand ya WCB ambayo ndio Diamond mwenyewe ....
hakuna Harmonize bila diamond , hakuna Rayvanny bila diamond ,katika swala la Sanaa katika mziki ,au katika masuala mengine e.g umbea na udaku jina la diamond Lina nguvu sana na watu wamejipatia kipato kupitia jina hili ......
Ni dhahiri Diamond kawekeza pesa nyingi Sana Kwa wasanii wake , naangalia jins zuchu anavyotembea kwenye Sanaa , video , Audio ni dhahiri pesa nyingi imewekezwa .,....hawabahatishi , ......nawashaur wasanii au lable zingine wajue hakuna shortcut , mwaga pesa upate pesa ......
WCB wamewekeza , wacha wavune walichopanda
Post a Comment