HomeUdaku Tanzia: Mwanzilishi wa Antivirus ya Mcafee Afariki Dunia bymafekeche -Thursday, June 24, 2021 0 John McAfee amefariki katika chumba kimoja cha Gereza katika Jiji la #Barcelona, Uhispania Umauti umemkuta saa chache baada ya Mahakama Nchini humo kuamua kumsafirisha hadi Marekani ili akashtakiwe kwa makosa ya kukwepa kodi Taarifa za awali zinaeleza uwezekano wa John #McAfee kujiua
Post a Comment