Steve Nyerere kafunguka kuukosa ukuu wa wilaya ‘Sijakasirika, kile kiti tu, nimepokea pole nyingi’

 


Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kutangaza orodha ya aliyowateulia katika nafasi ya Ukuu wa Wilaya, sasa Ayo TV & Millardayo.com imempata Mwigizaji Steve Nyerere kujibu yale yanayoendelea mitandaoni juu wanaomsema kuhusu kukosa teuzi hiyo.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post