Simba na Yanga Kukutana Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam


Klabu ya @simbasctanzania imefanikiwa kufuzu kuingia hatua ya Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam #ASFC Baada ya Kuichapa @azamfcofficial Bao 1-0 katika Mchezo wa Nusu Fainali uliopigwa katika Dimba la Majimaji 🏟 Mkoani Songea,

Sasa ni Rasmi Simba Sc itakutana na yanga Sc kwenye Hatua ya Fainali ya Kombe la shirikisho la Azam #ASFC itakayopigwa katika Dimba la Lake Tanganyika 🏟 Mkoani Kigoma.




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post