Shirikisho la Soka Ulaya #UEFA leo Juni 24, 2021 limetangaza kuifuta sheria ya goli la ugenini kutumika kwenye mashindano ya vilabu kuanzia msimu wa 2021/22
Kama ikitokea timu ziko sare kwa matokeo basi zitacheza dakika 30 zaidi na zikiwa hazijafungana zitaingia kupiga mikwaju ya penati
Post a Comment