Rais Samia "Chanjo ya corona itakuja Tanzania lakini itakuwa hiari kwa mtu kuchanjwa"


 "Chanjo ya corona itakuja Tanzania lakini itakuwa hiari kwa mtu kuchanjwa, haitakuwa lazima, Tuliamua kwamba Twende na Ulimwengu unavyokwenda Tuchanje, Tuchanje kwa hiari Mtanzania anayetaka atachanja asiyetaka atajiskiliza nafsi yake,


Sisi kama Serikali tunahimiza yale yanayoshauriwa na wataalamu, kama unaamini kwenye kupiga nyungu wewe piga, Kila mmoja atekeleze wajibu wake, Jikingeni sana na wakingeni watoto" - Rais @samia_suluhu_hassan



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post