Oscar Oscar Akatwa Kwenye Mchakato wa Urais TFF

 


Mwandishi wa Habari na Mchambuzi wa michezo nchini wa kituo cha Radio EFM na TVE, Oscar Oscar leo ametangaza kupokea E-Mail kutoka Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)  kuwa amekatwa  kwenye mchanakato wa Urais TFF

 Osca ametoa taarifa hiyo kupitia katika ukurasa wake wa instagram ma kuandika hivi;

Muda mchache uliopita Nimepokea E-mail kutoka Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) nikijulishwa kuwa NIMEKATWA kwenye mchakato wa Urais wa TFF.

Nitawapa Taarifa zaidi!

Oscar Oscar alikwe kuchukua fomu kwanda kuchukua fomu juni 9, kwa ajili ya kuwania nafasi ya Urais katika Shirikisho hilo ambapo uchaguzi wa kikatiba unaotarajiwa kufanyika mapema mwezi Agosti mwaka huu 2021.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post