Nandy atangaza jukwaani nipo single baadaye abadili kauli na kusema ilikuwa mizuka ya show




The African Princes @officialnandy katika moja ya caption zake Instagram aliwataja @rayvanny na @fahyvanny na baada ya kuongea na @el_mando_tz aliulizwa kuhusu hiyo caption aliyowataja Rayvanny na aliyekuwa mpenzi wake Fahyma alieleza haya.

Mbali na hilo @officialnandy jukwaani alitangaza nipo single na baada ya kuulizwa pia Je ni kweli yupo single alisingizia mizuka ya show kwamba mizuka ya show ndio ilisababisha ila amekataa kutamka kama yupo single kweli au laah.


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post