Nai Afichua Mambo Huku Adai Kulala na Fred Vunja Bei "Tulidumu Kwenye Mahusiano Muda Mchache Kisa Hamisa Mobeto"


Mrembo Nai akihojiwa na Diva katika kipindi cha Malavidavi huko Wasafi FM amemwaga mchele mbele ya kuku wengi kwa kudai kuwa alipoachana na Moni alikuwa kwenye maumivu makali na mtu aliyekuja kumuokoa hadi kumlipia kodi ya nyumba ni Fred Vunja bei

Diva amemchimba Nai na kujikuta akitoa siri kuwa alishawahi lala nae lakini kwa muda mchache na kuamua kuendelea na maisha yake baaada ya kusikia tetesi kuwa Fred Anatoka na Hamisa

Msikilize Hapa Chini:






0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post