Mwimbaji Nickki wa Pili Aapishwa Kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe

 


Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakari Kunenge amemuapisha Nickson Simon John maarufu @nikkwapili kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe

Nickki wa pili anachukua nafasi ya DC Jokate Mwegelo ambaye ameteuliwa na Rais Samia kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post