June 16 siku ya jumatano ilikuwa ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwa marehemu 2 PAC ambapo kama angekuwa hai basi angetimiza miaka 50, Mashabiki wameamua kumrudisha tena Will Smith baada ya ujumbe wa mkewe kwa marehemu 2 pac, wakumbushia tukio lake na August alsina, haya ndiyo usiyafahamu toka kwa wanafamila hawa
VIDEO:
Post a Comment