Mange Kimambi Ameandika Haya:
"Jamani tujifunze kusifia vya kwetu, hii ni historia mpya imewekwa Tanzania. Mambo ya kutrend number 1 tiktok ni mambo ya kina Drake, Chris Brown na Megan. Kina Drake wenyewe siku hizi huwa wanavizia kutoa nyimbo zenye dance ili zikatrend Tiktok. So this is huge for Kiba.
Na kuanzia sasa kila msanii Tz ataanza mambo ya kusema ana trend tiktok but just remember who did it first. The king did it first. Hail to the King 🙌🙌🙌🙌👑👑👑👑👑👑.
Ni kama ile historia Kiba aliweka kwenye seduce me ya kupata 1M views in 24 hours. Kulikuwa hakuna mtanzania aliewahi kufanya maajabu hayo kabla ya Seduce me. Sasa na leo mfalme kaanzisha jambo jipya, kutrend number 1 TIKTOK
Jamani wakianza kujigamba tu kuwa wanatrend TIKTOK muwakumbushe kuwa we been there, Done that!!!
Jamani wasaniii wa huku marekani kutrend TIKtok ndo kila kitu kwao. Views wa YouTube sijawahi kuona msaniii wa huku akisifiwa au kujisifia sababu ya views wa YouTube ila kama nyimbo ikipendwa mpaka watu waicheze TIKTOK hapo ndo huwa inakuwaga very big deal. Watanzania embu twendeni na wakati jamani. Mshawahi kumuona Drake akiongelea views zake za YouTube? Ila aki trend TIKTOK ndo huwa anadata mpaka alimlipa dola laki 2 yule kaka alienzisha ile challenge ya Kiki do you love me, are you riding?
Anyways, watoto wa TIKTOK please endeleeni kuintrendisha #Ndombolochallenge hashtag ikitrend na wa nchi zingine wanaona na wao wanaiga basi kitu kinazidi kupaaa.
Hail to the King 👑 👑👑👑🙌🙌🙌🙌🙌" Mange Kimambi
Post a Comment