Ushinde usishinde you are still the best in our eyes. Mambo ya kinchi aside you deserve to win this award. Burna Boy’s album wasn’t even all that, Ila wenzetu wana majina makubwa, otherwise kwa entertainment uliyotupa this last year you deserve to win this.
Rudi home ubadilike. Anza kuwa humble. You are overdoing it this days. Stop being selfish. Hutaki msanii yoyote mwingine afanikiwe unless you are making money from them a.k.a they have to be signed by you. Yani ni kwamba you don’t want anyone else to eat unless they seating at your table. That’s evil.
Ruhusu na wengine wapate spot light hakuna utakachokupungiwa kama na wasaniii wengine wakiwa wakubwa kama wewe. Just do you stop worrying about destroying other artists in your own country. Tumia nafasi kusaidia na sisi tuwe na artists wakubwa wengi kama wanaigeria sio kutumia nafasi yako kuhahakisha kwamba ni wewe tu ndo uwe mkubwa.
We love you ila badilika bwana.
Kingine cha msingi nachotaka kukushauri ni kuhusu hii reality show mpya. The reality show will hurt you and not help you. Reality shows are for D-list stars. Huku kwetu waimbaji walioishiwa ndo wako kwenye reality shows. The reality show will help Zari but it will hurt your career badly. She is using your stardom for her own benefit. She has turned you into her side chick. Zari needs this show to be relevant but you don’t need it because you are already relevant. That show will be the worst decision you ever made in your career. First all the show won’t last, so that already will lower your status kwamba you are a reality show failure. Walk away from the reality show. Najua hutosikiliza but one day watu watakwambia we told you so. It’s a really bad idea.
Good luck tomorrow.
Post a Comment