Reposted from @mangekimambi_ Kijana wetu kashindwa na Burna Boy😭😭😭. Lione li Burna sura bayaaaaaa 😏😏😏
Either way, he represented us well. Watakaomcheka hawana akili wote maana sio Diamond kashindwa ni Tanzania imeshindwa 😭😭.
Aisee mi mzalendo mnooo, roho inaniuma kuwa tumeshindwa. Najua angetukosesha amani, yani tungemkoma yeye na watu wake, yani ingebidi tuhame insta kwa muda jinsi ambavyo tungenyanyasika🤣 ila still roho inaniuma tumeikosa tuzo 😭😭😭😭
Ila wanaigeria wachawi mnooo, mtu alienda mpaka na mamake mzazi kama sio maelekezo ya mganga nini? 😩😩
Post a Comment