Mange asherehekea mtandao maarufu Marekani kumpost Hamisa Mobetto, Amshauri Kuhusu Rick Ross "Mchune tu"




Mange asherehekea mtandao maarufu Marekani kumpost Hamisa Mobetto, ampa angalizo Mobetto kuhusu Rick Ross kisha kumtungua Zari

"Jamani amkeni kuna breaking news imetokea huku marekani. Amshaneniiii jamani, mnalala mna raha gani?? Hamisa anatuwakilisha watanzania huku marekani, wamarekani wanaumiza vichwa huku Theshaderoom

Katoka Vunja Price kaingia RichForvever, hiyo inaitwa upgrade.

Ila kwa Rick Ross mdogo wangu sikushauri, huyu kiumbe kashindikana hapa marekani. Ni mshenzi wa tabia kushinda Dai. Yani hapo kwa Rick Ross utamuona Dai malaika mbona. Kawamaliza maslay Queen woooote unaowajua wewe na haoi mtuuuuu. Yeye ni kuzalisha wanawake tu. Yani huyu wewe mpige helaaaaaaa tambaaaaa zako, Ila usimchukulie serious kivileeeee.

Kwanza kabla hajakupandisha ndege kuja marekani kwanza akushushie Lambo Truck hapo bongo,

Ila bibi wa Sauzi uwiiiiiiii itakuwa haamini eti? yule aliekuwa anamuita cheap anakimbizwa na big celebs wa dunia, huku yeye ana kazi ya kulea kimwanaume suruali na kumng’ang’ania Dai hadi leo. Ila Mungu huyu bwana, kweli omba adui yako aishi maisha marefu ili ashuhudie maisha yako.

Bi Tukinao siku akiandikwa shaderoom nahisi atachanganyikiwa wiki nzima maana Kiki za Tanzania tu zinamtoaga roho za marekani je? Yani lazma haamini anachokiona kwa Misa. This is the kind of lifestyle she craves and she ain’t getting it, hehehehe 😜😜😜.

Maskini, anavyojitia mzuri ana hela alafu kadoda kina Hamisa ndo wanatingisha wanaume pande zote za dunia. Wow Misa made it in America before Bi Tukinao. Inauma hiyooooo. Nawaambia hivi Bi Tukinao utumbo ataenda kukata vizuriiii ili aje kushindana na Kina Misa maana lile limwili yuko kama Mama mtu mzima atampata tajiri gani saa hivi? Kwa ule mwili ni mwendo wa kulea vijanaume tu.

Misa katoka kwa Vunjabei kaenda kwa Richforver, yani levels tu, hashuki daraja, Sasa Dadake Bi Tukinao katoka kwa Diamond kashuka hadi kwa Mr. Nobody. Hadi huruma


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post