Mama Dangote Afunguka Haya Kwa Mwanae Diamond Platnumz Baada ya Kupigwa Chini BET Awards


NASEEB @diamondplatnumz MWANANGU JUA KWENYE MASHINDANO KUNA KUSHINDA NA KUSHINDWA... KUBWA NI UTAMBUE PALE TU ULIPO CHAGULIWA KWENYE KINYANG'ANYIRO MOJA KWA MOJA NILISHAKUHESABU WEWE NI MSHINDI TOSHA, HIVYO PIGA MOYO NGUMI NA MAISHA YAKO YA SANAA INAYONG'AA KILA IITWAYO LEO YAENDELEE...ALBUM LOADING..

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post