Viongozi wa maandamano ya umma ambayo yamedumu kwa siku 3 wametangaza kuwa Mfalme Mswati III ameikimbia nchi na sasa amejificha nchini Afrika Kusini. Waandamanaji wanataka mabadiliko ikiwemo kuruhusu siasa za vyama vingi, na wananchi kuchagua Waziri Mkuu
Post a Comment