Kikwete aeleza sababu iliyomfanya kuhudhuria mkutano mkuu wa Yanga leo




Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete amesema moja ya sababu iliyomfanya kuhudhuria mkutano wa leo ni baada ya kuona ajenda za mkutano mkuu, zimekaa kisomi na kisasa na zinazoonyesha tulipo na tunapokwenda.
 


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post