Hii ndiyo Top 10 ya watu wenye wafuasi (Followers) wengi zaidi katika mtandao wa Instagram Dunani


 Baada ya Nyota wa Juventus na Timu ya Taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo @Cristiano kufikisha Wafuasi (Followers) Milioni 300 katika mtandao wa Instagram siku ya jana kwa sasa yeye ndiye Mtu pekee mwenye Followers Wengi zaidi katika mtandao huo


Hii ndiyo Top 10 ya watu wenye wafuasi (Followers) wengi zaidi katika mtandao wa @Instagram


1. @Cristiano : 301M

2. @TheRock : 247M

3. @ArianaGrande : 244M

4. @KylieJenner : 241M

5. @SelenaGomez : 238M

6. @KimKardashian : 229M

7. @LeoMessi : 219M

8. @Beyonce : 186M

9. @JustinBieber : 178M

10. @KendallJenner : 170M


JE, Unadhani wewe upo Namba ngapi



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post