Herbinder Seth Kuachiwa HURU Baada ya Kukiri Makosa



Mkurugenzi wa Mashtaka #Tanzania, Sylvester Mwakitalu amesema Mtendaji wa PAP, Herbinder Seth amekiri makosa ya Uhujumu Uchumi na kukubali kulipa faini

DPP Amesema endapo Seth atakamilisha taratibu alizopewa ikiwemo kulipa faini, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu itamuachia huru


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post