Harmonize amesema kwamba amewasamehe wote ambao aliwashtaki kwa madai ya kuvujisha picha zake za utupu kwenye sakata lilitokea miezi kadhaa iliyopita. Kwenye mkutano na Waandishi wa habari leo, @harmonize_tz amesema tayari amefuta kesi hiyo mahakamani.
Miongoni mwa watu ambao alikuwa amewashtaki ni pamoja na Rayvanny, Diva The Bawse, Baba Levo na wengine.
Post a Comment