Klabu ya Soka KRC Genk ya Ubelgiji imemsajili kinda wa Tanzania, Kelvin John maarufu kama ‘Mbappe’ hadi mwaka 2024, ambapo ataweza kuongeza mkataba kwa misimu miwili.
Kelvin alikuwa Brooke House Football Academy nchini Uingereza, ambapo ilimbidi kusubiri atimize miaka 18 ili aweze kusajiliwa.
KRC Genk imetoa taarifa kwenye mitandao yake ya kijamii.
Post a Comment