Diamond Platnumz Afunguka Haya Kwa Uchungu Baada ya Kukosa Tuzo ya BET


Reposted from @diamondplatnumz kupitia tuzo hii nimeona ni kias gani watanzania tuna umoja, upendo na kuthamini vya kwetu...Nawashkuru sana kila mmoja wenu kwa Upendo mkubwa mlionionesha...Nifaraja kuona Dunia inapotaja nchi zenye Wanamuziki bora Tanzania inatajwa, ni jambo la Kumshukuru Mungu....Na naamini wakati mwingine Tutaibeba...nitafarijika kesho na kesho kutwa msanii mwingine pia akiwa katika jambo la kuwakilisha Taifa tumpe nguvu kama mlionipa.... sis ni #SwahiliNation sisi ni Taifa la Waswahili

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post