" Ugomvi wangu na @dullamakabila ulianza Pale alipomuacha Mwarabu . Kwasababu aimtambulisha Kwetu na kudai Pale ndio amefika na mimi nikamuonyesha mahaba yote . Sasa alivyomuacha ikabidi nimwambie kua anachofanya sio sahihi " - @amina_vikoba (Dada wa Dulla Makabila )
Post a Comment