Chris Brown Matatani Baada ya Kumchapa Makofi Mwanamke Mmoja Kwenye Nyumba Yake

 


Chris Brown anachunguzwa na mamlaka za usalama mjini Los Angeles kwa madai ya kumchapa makofi mwanamke mmoja kwenye nyumba yake.

Tovuti ya TMZ imeripoti kwamba mwanamke mmoja ameenda kufungua mashtaka akidai Breezy alimfanyia kitendo hicho nyumbani kwake mjini San Fernando Valley wikendi iliyopita. Aliwaambia polisi kwamba Chris Brown alimchapa makofi ya nguvu kisogoni hadi kumtoa wigi lake.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post