Mahakama Kuu ya Tanzania, imebatilisha hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kesi ya Jinai iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake 7 na kuamuru warejeshewe pesa walizolipa kama faini, kiasi cha shilingi milioni 350.
Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Irvin Mgeta.
Habari zaidi zinakujia.
Post a Comment