Breaking: Kesi Ya Sabaya Yaahirishwa Arusha




KESI no 27/2021 inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya (34) na walinzi wake watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha wakikabiliwa na makosa mbalimbali likiwemo la uhujumu uchumi, utakatishaji fedha na kupokea rushwa

 

Kesi hiyo Leo Juni 18, 2021 imetajwa na kuahirishwa baada ya ofisi ya mwendesha mashitaka kuomba kuahirishwa kesi hiyo kutokana na ushahidi kutokamilika.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Julai 2, 2021



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post