KUFANYA NGONO BILA UFAHAMU INAWEZA KUUMIZA MAHUSIANO


 Kitu” kufanya mapenzi ” kawaida ni kitu kizuri na kinahitaji hisia ambazo ni positive. Kufanya mapenzi ni raha. sweet. caring, na upendo mzuri.

Njia pekee ya kuwa na mapenzi ya ndani ya hisia za upendo kwa wenza wetu ni kupitia  miili yetu, akili zetu na mioyo yetu

Lakini kama kila  kazi ya ngono unayoifahamu , kuwa na upendo ni njia pekee ya kufanya mapenzi .Kwa maana nyingine ni kufurahiana, kuboreshana na kupeana nguvu  . Kuna hisia nyingi tofauti tofauti tunazozileta wakati  tunapofanya mapenzi,  hisia ambazo huleta  utofauti wa ngono.

Pakua App MPYA ya 'EDUSPORTSTZ NEWS-(Lite Version)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Na wakati mwingine mnapokuwa katika hatua hizo, kuna mambo ambayo yanaboa , Na hayo ndiyo huharibu mahusiano. tuangalie ni  sababu zipi ambazo unaweza kuziepuka.

1.Kama hutaki mwenza wako Akasirike

Kuna nyakati nyingine huwa tunachagua kufanya sex na wenza wetu , lakini inakuwa ni upande mmoja tu ndio unahitaji.  Sio afya hata kidogo kuamua kufanya sex kwa ajili ya kumridhisha mtu mmoja  na sio wote pamoja. Kama hujisikii kufanya sex ni bora kusema ili kufanyike kitu cha kukufanya uingie kwenye hisia hizo na mwenza wako.  Kwa kufanya hivyo mnaweza kuwa karibu zaidi kuliko kuamua kufanya bila ya hisia.

Lazima ikumbukwe kuwa ukiwa unafanya ngono bila ya kuwa na hisia na mwenza wako  utakuwa unazini. ni dhambi. Epuka matatizo ya kiafya hasa ya kiakili na kiroho hata kimwili pia. Ukiwa wakati huo uko Negative usifanye. Jitahidi kwanza uwe positive. Ili kupata faida iliyo bora kwa kila mmoja wenu.

2.Kama Hauko Sawa  Wakati Huo Unapohitajika.

Njia moja ya kuwa na  ngono bora zaidi ni kupata sex ya kweli  yenye hisia nzuri pande zote.  Ngono ambayo unajisikia vizuri na mwenza wako anajisikia vizuri.  Kufanya sex na mtu ambaye huna mapenzi naye sio Afya hata kidogo. Kwa hio usilazimishwe kufanya kitendo ambacho hutaki kufanya.

Kuwepo heshima, kuwepo mipaka, utulivu. usijilazimishe kufanya pasipo ridhaa yako .

3.Kama Unasikia Maumivu.

Kama unasikia maumivu wakati wa ngono usiendelee kufanya .  Jitahidi kumuona Dactari kwanza .  Kwa sababu hicho kitendo kinatakiwa kiwe na raha sio maumivu. Chunguza Afya yako, inawezekana ukawa na matatizo ya magonjwa ya ngono.

Wakati mwingine ni  mtindo unaotumika kati yenu sio mzuri. jaribu kutumia mbinu zingine  tofauti na ile uliyozoea.  Halafu kama mwili wako haujarelax ni shida , kwa sababu panapokuja msuguano huwezi kupata faida unayoitaka, badala yake ni maumivu. Nenda kwa Dactari pata ushauri kuhusu afya yako ili uweze kufurahia mahusiano yako.

Kwa kumalizia hapa ni kwamba, kwa kadri unavyofikiria kwamba sex ni kitu kizuri ndivyo unavyoweza kufaidika. Lakini wakati mwingine ngono hio inaweza kuharibu mahusiano yenu kwa kutokuwa na taarifa za kutosha kuhusu  mpango mzima wa afya ya ngono na faida zake. Kama utatumia ngono ili kumfurahisha mwenza na wewe mwenyewe hauko kwenye mood nzuri sio salama . Fanya kitu kwa ufahamu wa kutosha ili ufaidike.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post