Mambo makuu matatu ni sababu ya kumfanya mwanamke awe mwenye furaha katika PENZI;
1. MAWASILIANO
2. R0MANCE
3. KUFIKA KILELENI
Nianze na MAWASILIANO kwa hakika hili ni suruhisho la kumpa mwanamke sababu ya kuendelea kukufikiria, R0MANCE ni kichocheo cha Mapenzi maana uki-ki$s shingo ya mwanamke, Ukashika ziwa ama kuliny0nya, Ndimi zenu zikany0nyana NI KAMA MOTO UWASHWAPO NA NJITI MOJA KATIKA MSITU MNENE hapo lazima msitu uteketee... Imekuwa wimbo kwa wanawake kulalamikia juu ya KUFIKA KILELENI na hili linasababishwa na mambo mengi ila kwa ufahamu wangu WANAUME WENGI hujiandaa wao kisaikolojia lakini wanashindwa kumuandaa mwanamke kisaikolojia, Na ukisoma vizuri ujumbe huu utabaini yale mambo matatu yanategemeana hivyo kwa mwanaume makini YAMPASA KUYASIMAMIA MAMBO HAYO MATATU ili kuileta maana ya yeye kuwa furaha kwa mwanamke, Ni kosa kubwa kwa mwanaume kufika KILELENI kabla ya mwanamke Kwani hilo humkosesha mwanamke maana ya TENDO LA NDOA! Jitume mtoto wa kiume, Mtulize mwanamke wako WAKITULIZWA HAO WANATULIA HASWAA.
Post a Comment