Wanawake wengi hawajui ukubwa wa
u-ke wao kwa kuwa hawawezi kujipima au kuona
umuhimu wa kufanya hivyo.
Uk-e unapokuwa katika
hali yake ya kawaida kuta zake zinalaliana na kwa
wengi kipenyo cha u-ke hakizidi inch 1 na nusu na
urefu wake kati ya inch 3 hadi 4, hata hivyo ukubwa
wake hubadilika mwanamke anapokuwa tayari kwa
tendo la ndoa. Unaweza kuwa inch 1 au moja na
nusu ni ndogo kwa mwanaume kupitisha uume
wake, ukweli ni kwamba uk-e una uwezo wa
kutanuka ili uweze kumeza uume. Ukiingia ndani ya
uk-e ukubwa huongezeka zaidi hadi kufikia inch 3.
Kama uk-e wako umepanuka zaidi na umekuwepo
ulegevu mkubwa matokeo yafuatayo yatakukabili;
1.Hutafurahia tendo la ndoa
2.Mpenzi au mumeo atapata shida kuridhika nawe
kutokana na hali ya kupwayapwaya.
3.Unaweza kupata tatizo la hewa kuingia ndani ya
u-ke na kusababisha hali inayofanana na
kujamba,jambo linalowakuta wanawake wengi.
UTAJUAJE KUWA UK-E WAKO UMELEGEA AU
KUONGOZEKA UKUBWA?
Wanawake wengi wanagundua kuwa u-ke wao
umebadilika pale mpenzi au mume anapoanza
kulalamika au kupoteza hamu ya kufanya mapenzi
Zifuatazo ni ishara za kujua kama huko chini
kumelegea au kuwa kukubwa
1.Kama ukiingiza kidole chako u-keni inakuwa
vigumu kukibana kwa u-ke wako
2.Unapokuwa bado hujapata hamu ya kufanya
mapenzi,u-ke wako (tundu ambalo uume huuingia)
linakuwa wazi yaani hupati pingamizi lolote
ukiingiza kidole.
3.Unaweza kuingiza vidole vitatu au zaidi ndani ya
uk-e wako bila kipingamizi kikubwa.
4.Unapata shida kubwa kufika kileleni.
Watu wengine huamini kuwa mwanamke mwenye
u-ke mkubwa na mlegevu ametembea na wanaume
wengi sana, jambo hilo sio kweli kwani hakuna
uume unaoweza kufanya hivyo ila mwanamke
aliyezoea uume mkubwa anaweza kupata shida
kufurahia tendo la ndoa akipata mwanaume
mwenye uume mdogo.
Post a Comment