WANAWAKE JUENI UTUNDU MDOGO AMBAO NI 🌹KIVUTIO CHA MUME

Laughter is the best medicine! Tips to heal from stress – Citi ...

🌹 🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺 Wanaume wanapenda wanawake wanaowavutia kihisia. Wanawake mlioolewa jueni kuwavalia waume zenu mavazi yanayovutia. Si vibaya kama utavaa kanga moja endapo uko na mumeo ndani. 

🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷 Wanandoa tambueni kwamba, mnapokua karibu na waume zenu mnatakiwa mjiachie. Hakuna ubaya endapo mumeo anarudi kutoka kazini akiwa amechoka, wakati unapomtengea chakula baada ya kuoga ukiwa na kanga moja au night dress.

 🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏 Unaweza kuona hilo ni jambo dogo lakini kisaikolojia utakua umefanya jambo kubwa. Hata kama ameudhiwa kazini kwa kumfanyia hivyo, ni lazima atasahau maudhi yote ya kazini kwa kukuona wewe mke wake mpendwa. 🍓MWANAMKE USAFI🍓 

🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻 Kwa kawaida mpangilio wa vitu vya ndani hasa chumbani, unapokaa mbovu unaweza kuathiri hata tendo la ndoa. Kama chumba ni kichafu vitu havijapangwa vizuri, kisaikolojia kunapunguza msisimko wa mapenzi na hata kumfanya mwenzako achukie kufanya na wewe tendo, hivyo ukadhani hakupendi. 

🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀 Mwanamke tandika kitanda chako vizuri, panga chumba chako vizuri kivutie, sio shaghala baghala. Chumba kinapokua kisafi na kitanda kinapokua kimetandikwa vizuri pamoja na wewe uko msafi, kisaikolojia kutamfanya mumeo awe na hisia za kimapenzi haraka kuliko kawaida. 


🍊🍊🍊🍊🍊🍊🍊🍊🍊🍊🍊🍊🍊🍊🍊🍊🍊🍊🍊🍊🍊 Mazingira mazuri ya nyumba pamoja na unadhifu wako wa mwili, vitamfanya mumeo hata akiwa kazini ana kumbuka kurudi nyumbani mapema. Hakuna kitu kinacho mchukiza mwanamme kama kua na mwanamke mchafu asiejipenda. 

🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲 Sio lazima ujirembe sanaa, lakini jitajidi uwe msafi. Oga vizuri paka mafuta yako au loshen yako, jipulize manukato kidogo yanayomvutia mumeo. Sio lazima utumie gharama kubwa, usafi wa kawaida unatosha, na kupaka loshen kuna fanya ngozi ya mwanamke kuwa lain yenye kuvutia, inaleta msisimko mumeo anapokuangalia mara kwa mara.

 💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓 Wanawake wa nje hawana jipya wanapochukua waume za watu na kuwaweka kiganjani zaidi ya kuwateka kiusafi na kuwapikia vyakula vitamu. Mwanamke jitajidi kumpikia mumeo chakula cha suprays kila mara. Mwanamke anaemjali mumewe hawezi kukariri chakula kimoja kila siku. 

🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀 Hebu kuanzia leo fanya kumshtukiza mumeo kwenye chakula ambacho hujawahi kumpikia. Njia hii nayo inaongeza mapenzi kwa mume na kumuona mkewe ni wa thamani kubwa sana. Atathamini uwepo wako na kujiamini mbele ya marafiki zake kua ana mke bora, na sio bora mke. 

💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕 Mwanamke jitajidi kila siku mumeo akuone mpya, sio anakukariri siku zote anavyokuacha ndivyo anavyokukuta. Mlinzi wa nyumba ni mke, mlinzi wa mume ni mke. Mwanamke jitahidi mumeo anapotoka hakikisha yuko msafi kila idara. Mwanamke utachekwa endapo mumeo katoka rafu rafu, shati limekunjana, kiatu ni kichafu. 

🍂🍂🍂🍂🍂🍂🍂🍂🍂🍂🍂🍂🍂🍂🍂🍂🍂🍂🍂🍂 Hayo yote ni majukumu yako wewe mwanamke. Mwanamke ndio mwalimu wa kwanza hadi kwa kizazi chenu. Usipokilea katika maadili mazuri, basi kitakuja kusumbua baadae. Mume ni kama mtoto, unapaswa umdekeze kama unavyo dekeza watoto w ❤❤❤❤❤❤❤❤

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post