WANAUME TUNATAMANI SANA KUPATA WIFE MATERIAL LAKINI TUKIWAPATA HIKI NDICHO KINAANZA KUTOKEA.

WANAUME huwa tunatamani sana kupata WIFE MATERIAL lakini cha ajabu tukiwapata tunawatafutia visa vya ajabu visivyoeleweka wakati tuliwatafuta wenyewe...!!!
Ukiona Mwanamke ana WIVU NA WEWE, anakufuatilia mambo yako,uko wapi,umekula,umekula nini,umekula saa ngapi,kwanini hujalala,kwanini umepiga picha na mdada asiyemjua,kwanini hujamtafuta nusu saa,kwanini uko Online Whatsapp lakini haumtext, TUNAANZA KULALAMIKA,"Oh huyu Mwanamke ana wivu sana mi siwezi"
Mwanamke mwenye Wivu, SHE IS IN LOVE...SHE IS LOYAL..SHE IS FAITHFUL....!!!!
Hawa makurumbembe tunaowapenda kisa hawatusumbui wote WEZI NA WAONGO TU, they are after something. Kwao Mapenzi ni rahisi kama kuagiza RED BULL BARIDI.
Kwa taarifa yako, Wanawake FAITHFUL hapa Tanzania wamebaki sita (6) tu, kama umempata mmoja kati yao MSHIKILIE NA MPENDE SANA, USIMTIBUE NA USIMSUMBUE.
Akiondoka huyo utapata Bata la Uswahilini, ambalo hata uuchune SIKU 50 na lenyewe halikutafuti, utabakia na Majuto while She is Gone na kwa wakati huo atakua amempata aliyeona thamani yake...!!!
WANAUME HATA HATUELEWEKI TUNATAKA NINI SOMETIMES, Aaaaaaah😠😠😠
Hata mnune mnipige na mawe, UKWELI NDIO HUO!


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post