UPENDO💘 WA DHATI💕 NI MARA MOJA💯 - EDUSPORTSTZ

Latest

UPENDO💘 WA DHATI💕 NI MARA MOJA💯

Dozi Ya Mapenzi-uTamu Wenye Tiba kwa WAkubwa tu 2.0 APK - com ...
Maana yake ni pale Mtu anapoweka TUMAINI LA UPENDO KWAKO... Baada ya TUMAINI kuvunjika hapo ndipo MOYO HUHISI UONEVU na hapo ndipo UPENDO WA DHATI HUTOWEKA na kubakia hali ya wasiwasi na kutojiamini tena🤔
Msamaha ni tendo la UBIN ADAM na ndivyo MUNGU anaagiza, tatizo ni kutofautisha MSAMAHA hapo wengi huamini kupitia KAULI ZA MSAMAHA.
Ni ngumu kupata MSAMAHA NDANI YA MOYO kutokana na ukubwa wa JERAHA japo Mtu anaweza kusema MSAMAHA kutokana na woga wa kuona ATAUMIA KUKUKOSA kutokana na MAZOEA yaliyojengwa na UPENDO.
Watu wengi HUTAMKA MSAMAHA ili kutafuta nafasi ya KULIPIZA ama kwa MATENDO au kwa KUKUACHA UNGALI BADO UNAMPENDA na hapo ndipo ugumu wa MSAMAHA WA KWELI HUTAJWA...
Nijuavyo Mimi ni kwamba;
 MWENYE UPENDO WA DHATI AKIUMIA HUWA HASAMEHE KWA KUENDELEA NAWE ILA ANAKUACHA ILI KUJITENGA NA MAUMIVU.
Lakini ukiona bado yupo nawe ujue ANAKUVUTIA KASI TU ili akija kukuondoa kwenye MAZOEA mloyajenga ataondoka kama UPEPO 🌪️ hata ule ulomleta kwako utakuwa mdogo 😂😂
Nahihitimisha kwa kusema kwamba UPENDO 💘 WA DHATI 💕 HAUJIRUDII BAADA YA MAJERAHA.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz