UNAPOPENDA USIMPENDE MTU SANA KWA MAANA- "KILA MWENYE UPENDO WA DHATI HAKOSI JERAHA LA MOYO"


.Doctor-Love - FAHAMU NI KWANINI WANAWAKE WENGI HAWAPENDI... | Facebook
Ukimpenda mtu sana hatokupenda.
.
Ukimpenda mtu sana anakuona mshamba.
.
Ukimpenda mtu sana anakuona umekosa kazi.
.
Ukimpenda mtu sana anakuona ni mjinga.
.
Ukimpenda mtu sana anakuona umekosea njia.
.
Ukimpenda mtu sana anakuona Unajipendekeza.
.
Ukimpenda mtu sana akuzoea.
.
Ukimpenda mtu sana atakupuuza.
.
Ukimpenda mtu sana anakuona ni muhuni.
.
Ukimpenda mtu sana atakuona hufai na humfai.
.
Ukimpenda mtu sana ANAKUONA Msumbufu!
.
Ukimpenda mtu sana anakufanya kijinga-kijinga.
.
Ukimpenda mtu sana anakuona umechanganyikiwa.
.
Ukimpenda mtu sana ANARINGA.
.
Ukimpenda mtu sana atakuwa na mapozi, madharau na kubeza.
.
Ukimpenda mtu sana yaani anakuona kama umelogwa- Kumbe si umelogwa, ni Upendo wa dhati tu.
.
ILA HILI KUYASHINDA HAYA, KATIKA UPENDO WA DHATI IMETUPASA KUWA NA KIASI [Self-control]
Na zaidi ya hayo tutashinda zaidi ya kushinda kwa yeye aliyetupenda.-


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post