UNAJUA KWANINI WATEJA WAKUU WA BAR NI WAUME ZA WATU🤔 - EDUSPORTSTZ

Latest

UNAJUA KWANINI WATEJA WAKUU WA BAR NI WAUME ZA WATU🤔

Ayo tv
Kwanza ifahamike wazi ujumbe huu ni KWA WENYE NDOA PAMOJA NA WALE WANAOTARAJIA KUWA NA NDOA💯
Mapenzi ya kweli yametawaliwa na UHURU pamoja na UPENDO USIO NA MWISHO kinyume chake hakuna maana ya kuwa na MAPENZI.
Mwanzo wa safari ya NDOA wengi huitazama TASWIRA YA FURAHA YA KUDUMU huku wakisahau MAPUNGUFU YA KI BIN ADAM 💯
Nirudi kwenye Maana ya ujumbe wangu;
• WATEJA WAKUU WA BAR NI WAUME ZA WATU "wanaume wenye ndoa zao"
Ndoa ikiingiwa MIGOGORO mara nyingi FURAHA NA MAANA YA NDOA HUSIKA HUTOWEKA NA KULETA MAJUTO MAKUBWA😭😭
Moyo wa Mwanaume hauna usitahamilivu na mbaya kabisa Mwanaume hana ujasili wa kukabiliana na MABADILIKO YA MKE WAKE mwisho kabisa huangukia kwenye ULEVI ili kupooza maumivu anayopitia kwenye NDOA YAKE 💯
Muda Mwingine MOYO ukijawa maumivu njia rahisi ya kupata RELIEF ni kutafuta Mtu wa jinsia tofauti na kumfanya RAFIKI YAKO japo kwa muda mfupi unaweza kujikuta mawazo mabaya yanatoweka 😂
Waume za watu sio wote lakini MA-COMFORTER wao ni WANAWAKE WAHUDUMU WA BAR hao ndo husababisha NDOA nyingi kudumu baada ya Mwanaume kupata pumziko baada ya Mkewe kuleta gharika MOYONI mwake😂😂
WAMAMA zingatieni andiko hili;
• Mumeo akikosa pumziko baada ya mateso unampa NDOA yako itakufa haraka sana, ila ukiona pamoja na kelele zako lakini Mume bado yupo ujue KUNA PANGO AMEPANGISHWAAAA💯




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz