TATIZO KUBWA LA WANAWAKE WENGI LAKINI SIO WOTE HIVI SASA WANAINGIA KWENYE NDOA WAKIWA HIVI. - EDUSPORTSTZ

Latest

TATIZO KUBWA LA WANAWAKE WENGI LAKINI SIO WOTE HIVI SASA WANAINGIA KWENYE NDOA WAKIWA HIVI.

Tatizo kubwa la Wanawake wengi #SIO_WOTE hivi sasa wanaingia kwenye #ndoa mikono mitupu hawana chochote wanachochangia ndani ya #ndoa zaidi ya kile kiungo kilichopo kati kati ya mapaja yao, wanaenda kwa lengo la kupokea tu wao wanategemea walishwe, wale vizuri, wavae vizuri waishi maisha mazuri..
Hata ushauri chanya na mawazo mazuri yenye kuongeza kitu na kujenga #ndoa wao hawana yaani wao wapo wapo tu kwaajili ya kunyonya damu kama kupe, tamaa, ngebe na minyodo wameweka mbele..
Kwa maisha ya sasa ni WANAUME wachache sana wenye kuweza kuwavumilia Wanawake wa namna hii.. Lazma #ndoa itawashinda tu mtapigwa chini hakuna namna
Vipi kuhusu na WANAUME ambao wanaoa hawajajipanga, huku wakitegemea Mwanamke ndio afanye kazi ili familia ipate kitu,msipende kuangalia upande mmoja tu na Wanaume wapo wa design hiyo tena weng tu
Wewe utaendaje kwa MWANAUME wakati hajajipanga ukiona Mwanaume hadi analeta posa hadi mahari basi ujue amejipanga nawewe umemkubali huko ndio kuoa nakuolewa tatizo Wanawake saizi mnajipeleka ovyo kwa Wanaume ndio yanawatokea hayo
NDIO hivyo huwezi kujua yote na tabia nyingne huwez kuziona hadi uingie
Hilo ni kosa lakoUlikuwa wapi au ulishindwa nini kukataaHuwa mnajifariji ili baadae mpate visirani⁉️Au vipi
Huu unaweza ukawa ukweli. Kila Binadamu aliumbwa na kusudi na lazima aliishi kusudi lake. Mwanamke anatakiwa awe na ndoto na apigane kuziishi. Ndoa ikukute unaishi, uendelee kuishi kwenye ndoa na isipokuwepo uendelee kuishi.
Mambo ya kuyakabidhi maisha yako mikononi mwa binadamu hakuna.
Biblia inatwambia amelaaniwa mtu amtegemeaye mwanadamu.
Lakini na nyie kina Mwanaume msitake heshima ya kupitiliza wakati hamtaki kuigharamia.
Kama kila mmoja kwenye familia anaweza Fanya maisha yaende basi ni vyema WANANDOA wote wanaheshimiana.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz