SEX SIO KITHIBITISHO CHA KWAMBA ANAKUPENDA - EDUSPORTSTZ

Latest

SEX SIO KITHIBITISHO CHA KWAMBA ANAKUPENDA


------------------------------------------------
"Hello habar za jioni. Matumaini yangu wote ni wazima binafisi hata Mimi.mzima.
Karibuni kwenye mwendelezo wa mafunzo yetu.saikolojia ya mahusiano
"NAAM
Kabula sijaanza kuandika nilikuwa na waza sana kwa nini imekuwa ngumu watu kuacha.kufanya sex mpka siku wakifunga ndoa
ili ni swali zito sana sababu tumeumbwa na hisia za mapenzi. Saikolojia inasema watu wengi awafanyi mapenzi sababu ya hisia ila wanafanya sababu ya mihemuko tu ya mwili
ina kuwa simple sana kutongozana leo leo na mukasex leo leo sababu mihemuko tu ya mwili imeruhusu
"Nani alikuambia mkifanya mapenzi ndio kizibitisho kwamba munapendana au ndio atazidi kukupenda ili.swala limekuwa mutihani kwenye mahusiano
Sex ni tendo ambalo limekuwa likitokea tu lakini bila makubaliano dhabiti.
Kuna watu wana fanya ilo tendo bila.wao kupenda ila wanaogopa kuwaudhi wapenzi wao wana amua kufanya tu
Kuna watu bila sex wapenzi wao hawatoi huduma mfano pesa
Kuna watu wanafanya sex.kwa kuwa wenza.wao wana watishia kuchepuka
Asilimia kubwa ya sex ina kuwa na michakato hiyo.mtu ana fanya tendo bila kupenda ila.tu ana amua kufanya kwa kulinda penzi lake.
Sex ina nafasi ndogo sana munapo kuwa kwenye mapenzi ya kawaida ili kulinda utu wako na hata siku ukisalitiwa ubaki na maumivu ya kawaida sio Yale maumivu ya nilikuvulia mpka nguo za ndani
lakini.watu wana amua.kuitumia sex kama kidhibitisho cha kwamba nakupenda
Kama mtu ana kupenda hata hiyo haraka ya
Sex aipo imekuwa
ngumu sana watu kujua maana ya sex kwenye mahusiano. kumvulia mtu nguo sio upendo ni mihemuko tu ya mwili mkimaliza una geukia ukutani
lakini sex kwenye ndoa ukimaliza munapanga na mipango ya maisha
Maumivu ya mtu anaye kuacha aujasex naye.ni tofauti sana na maumivu ya mtu anaye kuacha umesha sex naye.
Sex sio kinga. ya mahusiano. au kidhibitisho cha kwamba mnapendana.
tukutane kwenye part nyingine ya mafunzo yetu saikolojia ya mahusiano.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz